MASHINDANO YA KWAYA JIMBO KUU KATOLIKI MWANZA//UKARIMU KAWEKAMO//2025 By. KFT NUNDU MWANZA.
Автор: KWAYA YA FAMILIA TAKATIFU (KFT) NUNDU MWANZA
Загружено: 2025-08-16
Просмотров: 100411
Mahujaji katika matumaini ... Watakaa Katika Hema ya Bwana...
Ndugu karibu utazame Mashindano ya kwaya yaliyofanyika tarehe 15 Agosti 2025 Katika Madhabahu ya Malkia Wa Kawekamo Jimbo kuu katoliki Mwanza.
Ambapo Kwaya ya Familia Takatifu Nundu Mwanza kwa Neema ya Mungu tuliebuka na ushindi kwa nafasi ya kwanza kati ya kwaya 18 zilizoshiriki Mashindano hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: