TENZI ZA ROHONI MIX PART 1 BY DANIEL SIFUNA. KAZI YANGU IKIISHA, UKINGONI, AMINI AMINI. WITH LYRICS.
Автор: Daniel Sifuna
Загружено: 10 апр. 2025 г.
Просмотров: 394 525 просмотров
TENZI ZA ROHONI, NYIMBO ZA INJILI, NYIMBO ZA WOKOVU, NYIMBO ZA KRISTO PAMOJA NA NYIMBO ZA IMANI YETU MIX PART 1 BY DANIEL SIFUNA.
HIZI NI NYIMBO ZA KUKUTULIZA , KUKUFARIJI NA KUKUTIA MOYO KATIKA MAISHA HAYA.
NA PIA NI NYIMBO ZA KUMKARIBIA MUNGU ZAIDI NA KUYAACHA MAOVU.
NI MAOMBI YANGU KWAMBA UNAPOSIKILIZA NYIMBO HIZI MUNGU AKUTEMBELEE NA AKUOKOE NA KILA HALI UNAYOIPITIA LEO HII.
PLAYLIST;
1.KAZI YANGU IKIISHA,
2.UKINGONI MWA YORDANI,
3. SIONI HAYA KWA BWANA( MSALABA NDIO ASILI YA MEMA)
4.NI UJUMBE WA BWANA ( AMENENA NWENYEWE),
5.YESU KWETU NI RAFIKI,
6.KWA KALVARI ( MUDA MWINGI NILIPOTEA -REHEMA BURE NA NEEMA ),
7 UKAE NAMI ,
8 AMINI AMINI NAKWAMBIA ( NI MWOKOZI ALIYENIFIA),
9.HUONGOZA HUNISHIKA ( HUNIONGOZA MWOKOZI)
10.ENEZA HABARI HUMU DUNIANI ( YUPO MFARIJI)

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: