KIWALANI BOMBOM THE JUNCTION OF USA AND UK IN DAR ES SALAAM 🇹🇿
Автор: Navigator Chinduli🇹🇿
Загружено: 18 февр. 2025 г.
Просмотров: 706 просмотров
KIWALANI TEMEKE DSM wengi wanapenda kupaita njia panda ya ulaya. Hii ni kutokana na uwepo wa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
KIWALANI ni moja ya neighbourhood ambayo inamiliki watu mashughuli sana hasa katika kiwanda cha muziki wa Hip-hop, itakumbukwa Young Lunya, P the MC, Moko wa miujiza yaani One incredible na wengine wengi wanapatikana mitaa hii.
Leo nimepita hapa kukuonesha namna ambavyo pamebadilika na kuwa sehemu nzuri sana ya uswahilini.
Tafadhali tizama video hii mpaka mwisho uweze kuona mabadiliko hao.
Usisahau kusubscribe KULIKE KUKOMENT NA KUSHARE.
#simbasc #africa #beach #yangasc #travel #trendingvideo #trending #walkingtour #vlog #barcelona

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: