NGUZO YA BABA EPISODE 2 | Love story 💕 | Inspiration | NYUKI TV I OMOKI FILMS
Автор: DASHI FILM
Загружено: 2025-08-24
Просмотров: 52986
Title: Nguzo ya Baba | Official Series – Dashi Film
👉 Baada ya mahusiano yake mawili kuvunjika kwa njia za kusikitisha, Nyuki, baba kijana asiye na chochote zaidi ya upendo na matumaini, analazimika kulea watoto wake wawili wa kiume peke yake – Chichi na Papi.
Lakini ndani ya nyumba hii ndogo yenye changamoto, kuna mgongano mkubwa: Chichi hampendi kabisa mdogo wake Papi, na mara kwa mara anamnyanyasa.
🕰️ Historia ya kuvunjika kwa familia yao bado inawaandama:
Mama yake Chichi alimuacha Nyuki akidai alikuwa mnyanyasaji, ilhali ukweli ni kwamba alimfumania akiwa na mwanaume mwingine.
Mama yake Papi naye alilazimika kuolewa na mwanaume mwingine baada ya familia yake kumkataa Nyuki kwa sababu ya kipato chake duni.
💔 Licha ya majeraha hayo ya zamani, Nyuki anapambana kuhakikisha watoto wake wanakua pamoja na kufahamu maana ya familia. Lakini je, ataweza kuponya nyufa zilizoko moyoni mwa Chichi? Je, ataweza kumlinda Papi dhidi ya mateso ya kaka yake na kuibadilisha familia kuwa kitu kimoja tena?
🎬 Single Daddy ni series ya maisha halisi, yenye msisimko, drama, na kugusa hisia, ikionyesha mapambano ya mzazi mmoja katika malezi, chuki na upendo – safari ya kutafuta mshikamano wa familia katika mazingira magumu.
🔥 Usisahau Subscribe kwa channel yako ya Dashi Film ili usipitwe na episodes mpya!
📌 #DashiFilm #SingleDaddy #DramaSeries
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: