NAFSI YANGU EP 07
Автор: SAMMAHRA
Загружено: 2025-08-15
Просмотров: 422
"NAFSI YANGU" hadithi ya tamthilia iliyogubikwa na nguvu za giza.
Kivu , mtoto mdogo asiye na hatia, anakumbwa na mkono wa wachawi baada ya nguvu za ajabu kugunduliwa ndani yake.
lakini baada ya kifo chake roʻho yake haikupumzika _ ikabaki ikitafuta jibu na haki kupitia kijana wa mtaani anayeweza kuwasiliana na ulimwengu wa wafu.
kila fumbo lina gharama, na kila nafsi ina thamani yake.......
🔥 Je utakuwa tayari kushuhudia mapambano ya mwanga na giza?🔥
usisahau kusbcribe, comment, share na kuweka like ili kuweza kupata muendelezo wa tamthilia yetu. #bongoswahilimedia #chumvinyingi #filamu #bongomovies #magicfilm #uchawi #comedy #love #mkojanigang #chandimu gang#maujanja entertainment
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: