Ameweza | Holy Cross St. Jude Thadeous Parish Kyarusozi Choir
Автор: The Infinite Singers - (Catholic Youth)
Загружено: 2024-08-05
Просмотров: 5845
Haya tazameni nyinyi wenyewe
Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote
Hata magumu yasiyofanyika
Mungu wangu mwenye nguvu ametenda yote
Ameweza - huyo ameweza yametimia
Ameweza - huyo ameweza yametimia
Oh Bwana Mungu kaweza - huyo ameweza yametimia
Yasiyowezekana - huyo ameweza yametimia
Yote ameyatenda - huyo ameweza yametimia
Ameweza - huyo ameweza yametimia
Maji yaliyomwagika kabisa -
Ameyazoa yakajaa upya -
Katikati ya bahari ya Shamu -
Israeli kapita kwa miguu -
Nipofukiwa shimo la zege -
Kulipokucha kaniweka huru -
Vilema vyangu nilipomwonyesha -
Amevigusa vikapona mara -
Nitapaza sauti kilimani -
Dunia yote isikie haya -
Welcome to our channel! We are a Catholic #youth group that aims at making God known loved and served through singing. Sunday #Psalms, liturgical Music, Mass, Adoration/praise & worship, and Compose faith-inspired music
For inquiries, please write to us: at theinfinitesingers@gmail.com. Kindly, Subscribe to our YouTube Channels, Like and follow us on Instagram, Twitter, and Facebook pages (The Infinite Singers, Friends of The Infinite Singers, Laudato Youth Initiative)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: