Je? Nikweli iPhone zinatumia vioo vinavyotengenezwa na Samsung!
Автор: ELLY TECH
Загружено: 2024-11-17
Просмотров: 56
Karibu sana Elly Tech! Video hii nimezungumzia swali linaloulizwa kuwa kama ni kweli iPhone wanatengenezewa vioo na Samsung!
Nimezungumzia kwa ufupi bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya Samsung na uhusiano wa iPhone kununua bidhaa kutoka kampuni ya Samsung.
Baadhi ya vipande vya video ni hakimiliki ya @Apple na @Samsung haki zao zote zimetambulikana!
#iphone #Samsung #Oledpannel
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: