Wabunge wawa MBOGO, wamkalia kooni Waziri Bashe "Tuheshimiane basi!!!"
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2023-06-23
Просмотров: 14620
Wabunge wakichangia hoja ya ununuzi wa mahindi ya wakulima kwa kupitia NFRA mara baada ya mbunge wa Momba (CCM) Condester Sichwale kuto hoja lijadiliwe Bungeni.
Hayo yamejiri leo Ijumaa, Juni 23, 2023 bungeni jijini Dodoma
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: