Uleaji wa Vifaranga wa Kuku wa Kienyeji Kwa Njia ya Kisasa
Автор: Changamkia Fursa
Загружено: 2021-04-07
Просмотров: 51746
Uleaji wa vifaranga wa kienyeji kwa njia ya kisasa
Tukuachilia mbali mbinu ya zamani ya uleaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji, wafugaji walikuwa wanashindwa kuendeleza mradi kwa sababu ya vifo vingi vya vifaranga.
Ili kuhakikisha mradi unakuwa, mfugaji unapaswa kulea vifaranga wa kienyeji kwa njia ya kisasa.
Vitu muhimu kwenye uleaji wa Vifaranga wa Kienyeji kwa Njia ya Kisasa
1. Banda la kulelea Vifaranga wa kienyeji
2. Vifaranga vya chakula na maji ndani ya banda la Vifaranga
3. Walishe Chakula cha vifaranga chenye virutubisho vyote
4. Zingatia usafi wa vyombo na banda la Vifaranga
5. Wape antibiotics na chanjo kwa wakati.
Kwa muda wote huo unaweza ukatumia Neoxychick formula au otc 20 na vitamin, Amprollium.
#uleajiwavifarangawakienyeji
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: