NAUFUNGA MTAA HANIFA MULIDI/OGOPA KOPA CLASSIC BAND
Автор: Mwambao muziki wetu
Загружено: 7 сент. 2016 г.
Просмотров: 40 058 просмотров
Mwenyewe anapenda umuite JIKE LA CHUI,ni miongoni mwa waimbaji wazuri wa Taarab ambao wanachipukia kwa sasa,naufunga mtaa ni aina fulani ya mipasho baina ya mtu mwenye kukuwekea husda katika mambo yako ya kimaendeleo kwa hiyo unamua kuufunga mtaa kumueleza wazi kwa yale yote anayoyafanya juu yako.

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: