Alichoongea Mbunge Musukuma Bungeni kuhusu sakata la Madini
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-06-15
Просмотров: 45405
Baada ya jana Rais Magufuli kukutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Barrick ya Canada Prof. John L. Thorton ikiwa ni pamoja na kukubaliana kulipa hasara zitakazobainika, leo June 15, 2017 Mbunge wa Geita Joseph Musukuma amesimama Bungeni kuwakosoa wanaompinga Rais.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: