Jinsi ya Kuuza Nyimbo Zako Mtandaoni Kupitia DistroKid | Msanii Lipwa Kila Mwezi!” pata pesa mziki
Автор: Teacher Sauti ya sifa
Загружено: 2025-10-23
Просмотров: 366
“JINSI YA KUZA NYIMBO ZAKO MTANDAONI | DISTROKID TANZANIA
Unataka kuuza nyimbo zako mtandaoni na kulipwa kila mwezi?
Kupitia DistroKid, unaweza kusambaza muziki wako kwenye Spotify, Boomplay, Apple Music, YouTube Music, Audiomack, Deezer, Amazon Music, Tidal na zaidi ya 150+ platforms duniani 🌍
👇 Fungua akaunti yako sasa kupitia link hii:
👉 https://distrokid.com/vip/seven/10595268
---
Faida za kutumia DistroKid:
✅ Msanii analipwa kila mwezi kupitia benki au PayPal
✅ Unamiliki haki zote za muziki wako (100%)
✅ Unaweza ku-upload nyimbo nyingi bila mipaka
✅ Muziki wako unapatikana duniani kote
✅ Inafaa kwa wasanii wadogo na wakubwa
---
📱 Mahali Nyimbo Zako Zitapatikana:
🎧 Spotify
🎧 Boomplay
🎧 Apple Music
🎧 YouTube Music
🎧 Audiomack
🎧 Deezer
🎧 Tidal
🎧 Amazon Music
🎧 Instagram & TikTok (sound library)
---
💬 MAFUNZO ZAIDI:
Angalia video hii hadi mwisho ujifunze hatua kwa hatua jinsi ya kufungua akaunti ya DistroKid na jinsi ya kusambaza nyimbo zako kwenye kila digital platform.
👉 Usisahau kusubscribe kwa channel hii ili ujifunze njia zaidi za kupata mapato kupitia muziki, YouTube, na digital platforms 💰
#DistroKidTanzania #KuuzaNyimbo #MsaniiMdogo #Boomplay #Spotify #YouTubeMusic #AppleMusic #MuzikiWaKisasa #AllDigitalPlatforms
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: