Jinsi ya kuongeza CSS kwenye HTML yako|How to add CSS
Автор: Swahili Coderz
Загружено: 2025-04-15
Просмотров: 31
📌 Jinsi ya Kuongeza CSS kwenye HTML yako
Katika video hii, utajifunza njia tatu kuu za kuongeza CSS kwenye faili zako za HTML: Inline CSS, Internal CSS, na External CSS. Hii ni mwongozo mzuri kwa wanaoanza kujifunza web development.
✅ Tazama hadi mwisho ili uelewe vizuri tofauti kati ya aina hizi tatu na jinsi ya kuzitumia katika miradi yako ya tovuti.
💻 Unachojifunza:
Maana ya CSS
Njia ya kutumia CSS kwa HTML
Faida ya kutumia kila njia
🔔 Usisahau ku-subscribe, kufinya kengele, na kudondosha comment ukihitaji msaada zaidi!
📌 How to Add CSS to Your HTML
In this video, you’ll learn the 3 main ways to add CSS to your HTML files: Inline CSS, Internal CSS, and External CSS. It’s a perfect guide for beginners starting their journey in web development.
✅ Watch to the end to clearly understand the differences and when to use each method in your projects.
💻 What You'll Learn:
What CSS is
How to apply CSS in HTML
Benefits of each method
🔔 Don’t forget to subscribe, hit the bell, and drop a comment if you need any help!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: