Maswali Mazito Kuhusu Pasaka na Mwafrika | Na Prince Katega II | Ukweli Uliofichwa
Автор: UNITED KINGDOMS OF AFRIKA
Загружено: 2025-04-05
Просмотров: 5531
Katika kipindi hiki maalum cha Maswali Mazito, tunazungumza na mwanaharakati Prince Katega II kuhusu maana halisi ya Pasaka kwa Mwafrika.
Tunaangazia maswali yanayozua fikra mpya kama:
Je, Pasaka ina uhusiano gani na urithi wa Mwafrika?
Ni kwa namna gani fikra za kiukombozi zinaweza kufufuka ndani ya Pasaka?
Je, bado tupo kwenye minyororo ya kiakili kupitia imani tuliorithi?
Karibu ujifunze, ujiulize na ujadili kwa kina.
Subscribe kwa UNITED KINGDOMS OF AFRIKA kwa vipindi zaidi vya kutafakari, historia na ukombozi wa ki-Afrika.
#MaswaliMazito #PasakaNaMwafrika #PrinceKategaII #UkomboziWaFikra #UkweliWaAfrika #HistoriaIliyofichwa #AfricaUnchained #Chionda
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: