DECEMBER 9 YAKITOKEA YAMETOKEA; “TUNACHUNGUZA OKTOBA 29"- CHANDE
Автор: TMC NEWS TV
Загружено: 2025-12-01
Просмотров: 685
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea nchini wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mohammed Chande Othman, amesema kuwa uchunguzi unaofanywa na tume hiyo unalenga maeneo sita pekee yanayohusiana moja kwa moja na kipindi cha wakati na baada ya uchaguzi.
Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika ukumbi wa mikutano wa Benki Kuu (BOT) jijini Dar es Salaam, Chande amesema malengo ya Tume hiyo sio kuangalia kitakachotkea desemba 9 mwaka huu.
Hata hivyo kumekuwepo na mijadala mitandaonikuhusu kauli zake, baada ya kueleza kuwa hawana ushahidi kuhusu tukio la Oktoba 29 na hawana taarifa kamili kuhusu tukio la Desemba 9. Ameongeza kuwa uchunguzi kuhusu tukio la Oktoba 29 bado unaendelea, na kwamba chochote kitakachojitokeza tarehe 9 kitashughulikiwa kwa mujibu wa taarifa zitakazopatikana wakati huo.#UchunguziWaAmani#TumeHuru2025#AmaniKwanza
#TaarifaKweli#HakunaUshahidi#Uchaguzi2025#MatukioYaAmani#TaarifaZaUmma
#TransparencyTanzania#AmaniNaDemokrasia📢 Usikose Habari Muhimu!
Jiunge na familia ya TMC News leo! Tunakuletea taarifa za kina kuhusu siasa, uchumi, na matukio yote muhimu nchini.
👍 Like video zetu ili kuona kila taarifa muhimu haraka!
🔔 Subscribe sasa na usikose kila update mpya.
📤 Share na marafiki na familia ili kila mtu apate ukweli.
💬 Comment chini na tuambie maoni yako—tuna thamini sauti yako!
TMC News – shaping the future
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: