#live
Автор: KaroTV
Загружено: 2025-09-20
Просмотров: 27
Klabu ya Gaborone United kutoka nchini Botswana ambao watacheza mchezo wao wa kwanza wa hatua ya awali wa ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Simba SC hii leo, wamedhamiria kupata ushindi kusudi kujiweka katika nafasi nzuri ya kuvuka katia hatua inayofuata.
Kupitia chapisho lao kwenye mitandao ya kijamii, wamesema mechi ya leo inahitaji ushindi wa lazima kabla ya wiki ijayo kusafiri Afrika Mashariki kwaajili ya mchezo wa mzunguko wa pili.
Usiache kutufuatilia wasanuaji @karokiatv
#karotvtzupdates #karotv #karotvupdates #africanfootball #africawithkarotv #simba #nguvumoja #CAFCL #azamtv #millardayo #caf #simbatv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: