Mwanzo Mwisho Alichokisema Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Uyole, Mbeya
Автор: The Chanzo
Загружено: 2025-12-18
Просмотров: 2903
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaendelea na ziara yake katika Mkoa wa Mbeya, ambapo amekutana na wananchi wa Uyole. Katika mazungumzo hayo, Waziri Mkuu amefafanua mikakati ya serikali ya kukuza maendeleo, kushughulikia changamoto za kijamii, na kuhimiza ushirikiano wa wananchi katika kukuza maendeleo ya eneo lao.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: