Le bucheron (Tafsiri ya Kiswahili)-Franklin Boukaka
Автор: Mwalimu Chris Keya
Загружено: 2025-06-15
Просмотров: 371
Wimbo huu unauliza uhalisia wa nchi kupata uhuru. Mwandishi anajutia kwamba ingawaje nchi nyingi za kiafrika zilijikomboa kutoka kwa mkoloni, mambo hayakuwabadilikia wananchi.
Furahia tafsiri.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: