Affirmition (Hakikisho) -Mateso Haya tarudi mara ya Pili (Nahumu 1:9)
Автор: Binti Sayuni 50
Загружено: 2025-08-23
Просмотров: 68
Karibu Binti Sayini 50 kwenye Series mpya au Mfululizo mpya wa Uhakikisho – Toleo la Jumamosi, ambapo tunatumia dakika chache kuzungumza maneno ya uzima na kweli kutoka kwenye Neno la Mungu.
Katika tafakari ya leo, tunaangalia mstari mzuri sana : (Nahumu 1:9)
9Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili.
Tumia dakika 5 pamoja nami leo kuunganisha moyo wako na ukweli wa Mungu, na kuanza siku yako ukiwa umetiwa moyo, umejengwa, na umejua ushindi wako unatoka wapi?
🕊️ Video mpya kila Jumamosi na Jumamme
Usiache - kusubscribe , share , like & Comment na Mungu akubariki sana ❤️❤️❤️
#affirmations #godly
#flylikeaneagle
#Ahsante#Yesu
#biblia
#nenolamungu
#newstrength
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: