SIMBA WA YUDA - LIVE PERFORMANCE KWAY YA MT.YUDATHADEI NJOMBE.
Автор: Kwaya ya Mt.Yudathadei Njombe
Загружено: 2025-04-24
Просмотров: 374
Wanakwaya wa Mtakatifu Yudathadei wakiimba kwa hisia kali wimbo maarufu "Simba wa Yuda", mubashara (live) mara tu baada ya kutoka kwenye Misa Takatifu ya Pasaka. Wakiwa bado wamejawa na furaha ya Ufufuko wa Bwana, wanamtolea Mungu sifa na shukrani kwa sauti zilizojaa uzima na tumaini jipya. Uimbaji huu wa pamoja ni ushuhuda wa imani, upendo na mshikamano wa waumini katika kusherehekea ushindi wa Yesu Kristo dhidi ya mauti.
🎼 Imetungwa Na: Salisali J. M
🎤 Kuimbwa in Na: St. Kizito choir Makuburi, DSM
#SimbaWaYuda #WanakwayaLive #MtYudathadei #Pasaka2025 #Ufufuko #NyimboZaInjili #GospelMusic #LivePraise #ImaniYet #SifaNaKuabudu #KristoAmefufuka #SimbaWaKabilaLaYuda #KanisaLive #KwayaTakatifu #PasakaNaYesu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: