Afrika Inayomlinda Mtoto: Bajeti kwa Ajili ya Mustakabali wa Watoto |
Автор: Save the Children Tanzania
Загружено: 2025-06-16
Просмотров: 48
Fikiria Afrika ambayo kila mtoto anapata elimu bora, huduma za afya bora, ulinzi na lishe bora kwa sababu serikali zilipanga na kuweka bajeti kwa ajili yake.
Afrika hiyo inawezekana. Inaanza na bajeti zinazomlenga mtoto na utayari wa dhamira ya kisiasa.
Katika #SikuyaMtotowaAfrika2025, tunawahimiza viongozi wote wawekeze katika mustakabali wa watoto.
#DAC2025 #TodayIsMyDay #Budget4Children
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: