MAPIGO | SOMO LA 4 | Robo ya 3| MWONGOZO WA KUJIFUNZA BIBLIA
Автор: BW MEDIA
Загружено: 2025-07-22
Просмотров: 4450
#swahiligospel #sabbathschool #Unabii#christianchurch hopesabbathschool
Kuna nyakati ambazo Mungu hutumia nguvu na kutulazimisha pale mioyo yetu inapokuwa migumu kusikia maagizo yake. Mungu alilazimika kuvuta hisia zake Farao, hili halikuwa tu kuhusu mapigo au nguvu ilikuwa kuhusu kuamsha moyo mgumu kutambua mamlaka ya Mwenyezi. Kama Farao, tunaweza kushikilia kile kinachotunufaisha, hata kama kinawatia wengine utumwani. Tunahitaji kusikiliza sauti yake bila kujali yanayotupendeza kwa muda.
👇 Subscribe kwa channel yetu ili usipitwe na matangazo mengine kama haya!
🔔 Bonyeza kengele ili upate Taarifa kila tunapokuwa live!
📩 Contact us: [email protected]
📱 WhatsApp: +255 658 464 549
#biblestudyguides #kutoka #sabbathschool #Zaburi #Masalia #MlimaSayuni #InjiliYaMilele #NenoLaMungu #BibleStudy #swahiligospel @BW MEDIA
#sdachurch #mezayamakuhani #mwongozowakujifunzabiblia #Pambano
#hopesabbathschool#Unabii#zaburi#imani#ukweliwa#K#UkweliWaPatakatifu#MunguNaMaovu#BibliaNaMaisha#biblestudyguide
#exodus9
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: