Jay Melody - Ankali [Lyrics]
Автор: YOU LYRICS
Загружено: 2025-09-19
Просмотров: 140605
LYRICS:
Jay once again
Again again
Unajifanya chizi umechanganyikiwa
Wakati kwenu mtoto chai maziwa
Unajifanya chizi umechanganyikiwa
Wakati kwenu mtoto chai maziwa
Nipe tena
Useela aaala
Usela nunua
Usela ukizidi sana
Ndugu yangu utakwenda jela
Usela onhoooo
Usela noma
Usela ukizidi sana
Ndugu yangu utakwenda jela
Ankali unanini
Ankali umewaka
Ankali umeshindwa kujua mbwa nap aka
Bila sababu unataka tu kukiwasha
Umeleta ugomvi wazee wanakusaka
Sa usitake tukwazane
Tukikutana tupishane njia
Usitake tupasuane
Mi nishavuka huko nakwambia
Usela ulikuwa zamani ujue
Siku hizi watu wametulia
Kuna watu wana hasira ujue
Jichanganye kidogo umeumia
Unajifanya chizi umechanganyikiwa
Wakati kwenu mtoto chai maziwa
Unajifanya chizi umechanganyikiwa
Wakati kwenu mtoto chai maziwa
Nipe tena
Useela aaala
Usela noma
Usela ukizidi sana
Ndugu yangu utakwenda jela
Uselaa onhoooo
Usela noma
Usela ukizidi sana
Ndugu yangu utakwenda jela
Unaleta utoto kama huja balee
Unaleta utoto kama sio mzee
Unaleta utoto kama huja balee
Asee awe
Kuna miziki usiingie katu katu
Utapigwa unywe dozi mara tatu
Aya sikiliza kuna watu wana roho za chatu
Mpaka ugoko kwa masela wanafulia dafu
Na bichwa lako hata uelewi
Ukielekezwa huelezeki
Issue sio issue unaleta mtiti
Hujui maisha we upigwe zako vipi
So usitake tukwazane
Tukikutana tupishane njia
Usitake tupasuane
Mi nishavuka huko nakwambia
Usela ulikua zamani ujue
Siku hizi watu wametulia
Kuna watu wana hasira ujue
Jichanganye kidogo umeumia
Unajifanya chizi umechanganyikiwa
Wakati kwenu mtoto chai maziwa
Unajifanya chizi umechanganyikiwa
Wakati kwenu mtoto chai maziwa
Nipe tena
Usela aaala
Usela noma
Usela ukizidi sana
Ndugu yangu utakwenda jela
Usela onhoooo
Usela noma
Usela ukizidi sana
Ndugu yangu utakwenda jela
Unaleta utoto kama huja balee
Unaleta utoto kama sio mzee
Unaleta utoto kama huja balee
Asee awe
#addiction #ankali #jaymelody #youlyrics
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: