JK Comedian alivyoigiza sauti ya JPM, Mama Rwakatare na Masanja
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-07-28
Просмотров: 145543
Kwenye Utoaji wa tuzo za Wanafunzi za WASSA, JK Comedian alifika kwa ajili ya kuwaburudisha watu. Miongoni mwa sauti alizoigiza ni ya Mama Rwakatare, Kadinari Pengo, JPM, Masanja na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: