Wakazi (feat. Godzilla, Mwasiti & Atan) - Kabila Letu
Автор: Wakazi
Загружено: 2023-12-30
Просмотров: 26953
“Kabila Letu” single mpya kutoka katika album ya BEBERU (Declaration) ya Wakazi, akimshirikisha Mwasiti, Atan na merehemu Godzilla (R.I.P). Wimbo unazungumzia complexity za mahusiano ya watu ambao wanafanana kulingana na shughuli zinazoshabihiana, kushindwa kuja pamoja au kufanya hivyo when it is too late. Pia mara nyingi ambavyo tunashindwa kutambua kuwa nyie ni Kabila Moja, not in sense ya tribalism but likings, purpose, and perspectives.
Wakazi na Godzilla walianza kama collaborators, then wakawa marafiki japo sio karibu sana, ila wakageuka maadui. Ni muda mfupi tu baada ya ku reconcile na kupanga kufanya tena kazi pamoja, Godzilla akafariki, hivyo wimbo ukachukua sura mpya, with Mwasiti and Atan capturing the emotional that Wakazi wished to evoke.
The song was produced by Pallah Midundo, recorded by Ommy Daddy, mixed & mastered by Innocent Mujwahuki.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: