Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!!

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2020-10-18

Просмотров: 52428

Описание:

Kuna baadhi ya akina Mama wanaonyonyesha hujishtukia tayari wana Mimba nyingine ndani ya miezi 6 tokea wajifungue hii ni kwa sababu wanashindwa kujua vigezo ambavyo vitawafanya wao wasitumie/watumie uzazi wa mpango na wasipate ujauzito katika kipindi cha kunyonyesha hususani kwa Miezi 6 ya mwanzo ya watoto wao na wao kunyonyesha!

Endapo utanyonyesha na utakidhi vigezo hivyo basi inawezekana ukapunguza uwezekano wa kupata Mimba kwa asilimia nyingi sana kwa kipindi hicho.

Tafiti zinaonesha kwamba 1% - 2% ndio huweza kupata Mimba endapo watafuata na kukidhi vigezo hivi vitatu (3) ambapo huweza kuzuia uwezekano wa kupata Mimba kwa 98% - 99% bila kutumia njia nyingine zozote za uzazi wa mpango kwenye Miezi 6 ya mwanzo tokea wajifungue.

Vigezo unavyotakiwa kuwa navyo wewe kama Mama unanyonyesha ili usipate Mimba hali yakuwa hutumii njia yoyote ya uzazi wa mpango ni kama vifuatavyo;

1. Hakikisha Mtoto wako ana umri chini ya Miezi 6.

2. Hakikisha unanyonyesha Maziwa yako wewe Mama tu bila kuongeza maji wala Uji na nk, katika Miezi sita hii ya Mwanzo!
Unanyonyesha mtoto maziwa yako kila baada ya masaa 2 - 4 kwa mchana na masaa 4 - 6 na mtoto ananyonya mpaka anaacha mwenyewe!

3. Hakikisha hupati hedhi kwa maana kwamba huoni siku zako katika kipindi hicho.
Kuna baadhi akina mama wanaweza kuanza kutokwa na damu katika vipindi fulani fulani hususani mwezi 1 au 2 tokea wajifungue na hii haimaanishi kwamba ni hedhi.

Muhimu: Kitu kingine ni kwamba hakikisha kwamba Mtoto hanywi maziwa ya kununua dukani yani anategemea maziwa yako tuu!

❌Kama hujakidhi vigezo hivyo hapo juu basi kuna uwezekano wa hatari ya kupata Ujauzito kwa 1% - 10% katika kipindi hichi cha Miezi 6 ambapo unanyonyesha maziwa na hutumia uzazi wa mpango!

Ili kuepuka kupata Ujauzito basi utatakiwa kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango wiki 3 Mara baada ya kujifungua na endapo umefikisha miezi 6 basi utatakiwa kuchagua njia ya uzazi wa mpango inayokufaa ili kuepuka kupata Mimba zisizo pangwa na mwisho wa siku kuanza kupata shida au kutoa Mimba ambayo ni hatari kwa afya yako na pia ni kosa kisheria!

Subscribe,Comment and Share

NB: Ukitaka kujifunza zaidi ni fuatilie YouTube kwa jina la Dr.Mwanyika au bonyeza link hapo 👇👇👇👇
   / drmwanyika  

Ukiwa unamaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).

Subscribe,Comment and Share

JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.

#MamaAfya
#Mimbawakatikunyonyesha
#Ujauzito

Je Mama anayenyonyesha anaweza kupata Mimba?? | Mambo matatu (3) ya kujua ili usipate Ujauzito!!

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

HATARI YA KUPATA UJAUZITO UKIWA NA MTOTO MCHANGA

HATARI YA KUPATA UJAUZITO UKIWA NA MTOTO MCHANGA

KUNYONYESHA KAMA NJIA YA KUPANGA UZAZI: Mama anayenyonyesha anaweza kupata mimba

KUNYONYESHA KAMA NJIA YA KUPANGA UZAZI: Mama anayenyonyesha anaweza kupata mimba

HIZI HAPA NJIA TANO ZA UZAZI WA MPANGO ZA UHAKIKA ZISIZO NA MADHARA UNGANA NA DR.SULLE

HIZI HAPA NJIA TANO ZA UZAZI WA MPANGO ZA UHAKIKA ZISIZO NA MADHARA UNGANA NA DR.SULLE

Siri Ya Kuachisha Mtoto Kunyonyesha Haraka NA Rahisi, Mbinu 10

Siri Ya Kuachisha Mtoto Kunyonyesha Haraka NA Rahisi, Mbinu 10

Je Unaweza Kupata Mimba Kabla Ya Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Siku 1, 2, 3, 4 au 5 Kabla Ya Hedhi}.

Je Unaweza Kupata Mimba Kabla Ya Hedhi Kama Utafanya Mapenzi? {Siku 1, 2, 3, 4 au 5 Kabla Ya Hedhi}.

Sikiliza: Unaweza Kupata Mimba Baada Ya Kumeza P2? Uzazi WA Mpango WA Dharura.

Sikiliza: Unaweza Kupata Mimba Baada Ya Kumeza P2? Uzazi WA Mpango WA Dharura.

Je Upate Mimba Lini Baada Ya Kujifungua Kwa Upasuaji?

Je Upate Mimba Lini Baada Ya Kujifungua Kwa Upasuaji?

Je Mjamzito Mwenye Kichanga Anaweza Kunyonyesha Mpaka Lini? | Kubemenda Mtoto Mchanga!

Je Mjamzito Mwenye Kichanga Anaweza Kunyonyesha Mpaka Lini? | Kubemenda Mtoto Mchanga!

TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA

TENDO LA NDOA BAADA YA KUJIFUNGUA

Je Kijiti Cha Uzazi WA Mpango Huweza Kupotea Mwilini Mwako?

Je Kijiti Cha Uzazi WA Mpango Huweza Kupotea Mwilini Mwako?

MZUNGUKO USIYOELEWEKA (CALENDAR ) Irregular Menses @ramonawatoto @ammarruwehy @afyatips

MZUNGUKO USIYOELEWEKA (CALENDAR ) Irregular Menses @ramonawatoto @ammarruwehy @afyatips

Women Matters: Njia ipi ya kuzuia Ujauzito ni bora? Daktari Bingwa wa UZAZI anazitaja + MADHARA yake

Women Matters: Njia ipi ya kuzuia Ujauzito ni bora? Daktari Bingwa wa UZAZI anazitaja + MADHARA yake

Sikiliza Hii Kabla Ya Kujifungua Kwa Upasuaji! (Madhara 26 Ya Kujifungua Kwa Upasuaji).

Sikiliza Hii Kabla Ya Kujifungua Kwa Upasuaji! (Madhara 26 Ya Kujifungua Kwa Upasuaji).

VIDONGE VYENYE VICHOCHEO 2 KUZUIA UJAUZITO | Matumizi, Ufanisi, Athari, imani potofu, majira

VIDONGE VYENYE VICHOCHEO 2 KUZUIA UJAUZITO | Matumizi, Ufanisi, Athari, imani potofu, majira

Jinsi ya kuzuia kupata Mimba bila kutumia Dawa za Uzazi wa Mpango.|Je Uzazi wa Mpango asilia ni upi?

Jinsi ya kuzuia kupata Mimba bila kutumia Dawa za Uzazi wa Mpango.|Je Uzazi wa Mpango asilia ni upi?

SINDANO ZA KILA MIEZI 3 ZA KUZUIA UJAUZITO ZENYE KICHOCHEO KIMOJA| Matumizi, Ufanisi, Athari...

SINDANO ZA KILA MIEZI 3 ZA KUZUIA UJAUZITO ZENYE KICHOCHEO KIMOJA| Matumizi, Ufanisi, Athari...

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

Dalili za Mimba changa. Zifahamu dalili 10 za uhakika za #mimba changa

UKWELI KUHUSU KUBEMENDA MTOTO | AFYA PLUS EP 2

UKWELI KUHUSU KUBEMENDA MTOTO | AFYA PLUS EP 2

Je Una Maziwa Mepesi Sana Kichanga Wako Hashibi? | Kichanga Hashibi Maziwa Yako!!!?

Je Una Maziwa Mepesi Sana Kichanga Wako Hashibi? | Kichanga Hashibi Maziwa Yako!!!?

Она Была «Негодной Для Брака» — Её Отец Отдал Её Самому Сильному Рабу, Вирджиния, 1856

Она Была «Негодной Для Брака» — Её Отец Отдал Её Самому Сильному Рабу, Вирджиния, 1856

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com