AJALI ya NDEGE BUKOBA, VIONGOZI wa DINI WAZUNGUMZA, WAKUMBUSHA KUTENDA WEMA..
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-11-06
Просмотров: 8269
AJALI ya NDEGE BUKOBA, VIONGOZI wa DINI WAZUNGUMZA, WAKUMBUSHA KUTENDA WEMA..
Watu 19 wakiwemo abiria na wahudumu wamefariki dunia katika ajali ya ndege ya shirika la Ndege la Precision Air iliyotokea asubuhi ya leo Jumapili Novemba 6, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametangaza vifo hivyo baada ya kuwasili kwenye eneo ilipotokea ajali hiyo.
Ajali hiyo imetokea asubuhi kutokana na ndege hiyo kushindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba, Mkoa wa Kagera na kutumbukia Ziwa Victoria ambalo lipo karibu na uwanja huo.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: