Mwamba ulio pasuka 110 NW
Автор: Shem Kabanza
Загружено: 2020-05-11
Просмотров: 572529
110 Nyimbo za wokovu
MWAMBA ulio pasuka
Nyimbo za wokovu
1. Mwamba uliopasuka,
ndani yako nijifiche!
Maji yale, damu ile
itokayo mbavu zako,
iwe dawa ya kuponya
roho yangu na ubaya!
2. Kazi za mikono yangu,
haziwezi kukomboa.
Hata ningelia sana
na kutenda kazi nyingi,
singeweza kuokoka,
peke yako u Mwokozi.
3.Ndani yangu sina kitu,
naushika msalaba.
Uchi mimi, univike!
Sina nguvu, ‘nichukue!
Ni mchafu, unioshe!
Wewe u Mwokozi wangu.
4. Kwa maisha yangu yote
hata nitatoa roho,
hata saa ya kuitwa
mbele ya Mfalme wangu,
mwamba uliopasuka,
nijifiche ndani yako
#Nyimbozawokovu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: