Nilipotoka Kabisa | I'Ve Wandered Far Away | Nyimbo za Kristo
Автор: Nyimbo za kristo Hymnal
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 71
Lyrics
[Verse 1]
Nilipotoka kabisa, sasa narudi;
Nikakawia dhambini, Bwana narudi.
[Chorus]
Narudi nyumbani: daima kwako.
Kwa upendo nipokee: Naja nyumbani.
[Verse 2]
Nikasusurika sana, sasa narudi;
Mwenye uchungu natubu, Bwana narudi.
[Verse 3]
Nimechoka maovuni, sasa narudi;
Pendo lako lanivuta, Bwana narudi.
[Verse 4]
Ndilo tumaini langu, sasa narudi;
Yesu alinifilia, Bwana narudi.
[Verse 5]
Damu yake yanitosha, sasa narudi;
Unioshe kenyekenye, Bwana narudi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: