Tazama Rais Magufuli alivyofanya usafi Dec 9 2015
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2015-12-09
Просмотров: 64103
Ni agizo alilolitoa mwenyewe Rais Magufuli baada ya kufuta shamrashamra za siku ya Uhuru Tanzania na badala yake siku hiyo itumike kufanya usafi huku pesa zilizokua zitumike kwenye shamrashamra hizo akiagiza zipelekwe kwenye ujenzi wa barabara ya Mwenge - Morocco Dar es salaam.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: