BAGAMOYO SUGAR || Hatua kwa hatua uanzishwaji kiwanda had uzalishaji sukari
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-10-22
Просмотров: 38672
Bagamoyo Sugar mkombozi mpya Tanzania katika eneo la sukari.
Kiwanda kikubwa kilichoanzia kwenye wazo lililotolewa na hayati John Magufuli, Rais wa awamu ya tano wa Tanzania.
Hebu shuhudia hatua kwa hatua ya namna kiwanda cha Bagamoyo kilivyoanzishwa hadi kufikia leo kilipoanza uzalishaji unaokidhi mahitaji ya soko la sukari nchini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: