ALICHOSEMA MTOTO WA WAZIRI MWIGULU BAADA YA KUSHINDA UCHAGUZI CHIPUKIZI WA CCM
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2023-12-20
Просмотров: 83231
Isack Mwigulu Nchemba mtoto wa mbunge wa jimbo la Iramba na Waziri wa fedha amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza kuu la UVCCM Taifa kutoa Tanzania Bara katika mkutano wa tisa wa Chipukizi Taifa uliofanyika ukumbi wa Jakaya Kiwete jijini Dodoma kwa kupata kura 118 kati ya kura 433 zilizopigwa na moja kuharibika ambapo amewabwaga wenzake 9 katika kinyang'anyiro cha wagombea 10
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: