MKURUGENZI WA JAMBO GROUP ALIVYOSHAURI KUHUSU UWEKEZAJI SHINYANGA
Автор: Jambo FM Radio Tanzania
Загружено: 2023-06-21
Просмотров: 2411
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jambo Food Products @jambogroup Bw. Salum Khamis Salum @salum_kh_salum ametoa ushauri kuhusiana na Uwekezaji Mkoani Shinyanga na Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai wakati akichangia hoja katika kikao cha Mkuu wa Mkoa na Wafanyabiashara, na wamiliki wa Viwanda mkoani Shinyanga kilichofanyika Juni 20, 2023
Endelea kutufuatilia zaidi kupitia
Instagram: @jambofmtz
Facebook: @JamboFmRadioTZ
Twitter: @jambofmtz
TikTok: @jambofmtz_
Youtube: @jambofmtz
Sikiliza LIVE: www.jambofm.co.tz
#jambofmtz #ᴊᴀᴍᴜᴋᴀʏᴀ #shinyanga #jambotanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: