MTOTO WA MAJINI EPISODE 3 💀
Автор: Kikenya Productions
Загружено: 2025-09-08
Просмотров: 137
🧒🏿 MTOTO WA JINI – Tamthilia ya kusisimua ya mapenzi, uchawi na maamuzi magumu ya kifamilia!
Wanandoa wasiojaaliwa mtoto wanamuokota mtoto mdogo na kuanza kuishi nae japokuwa mwanaume hakuridhia swala hilo lakini anakubali kwa kushinikizwa na mke wake
Je, watamlinda? Au Balaa gani litawakuta kwa kumuokota ?
🔥 Tazama kila sehemu ya hadithi hii ya kuvutia, yenye mchanganyiko wa maajabu, hofu na mapenzi ya kweli.
🆕 EPISODE MPYA KILA WIKI!
👉🏿 Ep 1: • MTOTO WA JINI { 1 }
👉🏿 Ep 2: • MTOTO WA JINI { 2 }
📢 SUBSCRIBE kwa tamthilia nyingine kali kutoka Tanzania 🇹🇿
📲 Share kwa marafiki zako wote!
🎬 Imepakiwa na: Ydon Platform
#MtotoWaJini #FilamuZaKiswahili #TamthiliaZaKibongo #FilamuZaTanzania #DramaZaKiswahili #AfricanMovies #YdonPlatform #BongoMovies
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: