MKE MWENZA PART 1
Автор: DIMMO TV ONLINE
Загружено: 2020-06-02
Просмотров: 217241
MKE MWENZA
Nifilamu Inayo Zungumzia Na Kuonesha Maisha Ya Wanawake Wawili Walio Olewa Na Mwanaume Mmoja.
Ambapo Mume Wao Hakuwa Na Ubaguzi Wa Kiupendo,Wala Hakuonesha Utofauti Kwa Kitu Chochote,Katika Kuegemea Upande Mmoja Baina Ya Mke Mkubwa Na Mke Mdogo. Kwani Kila Mmoja Alipata Haki Sawa Na Mwenzie,
Ila Yote Na Hayo , Ilikuwa Tofauti Kwa Upande Wa Mke Mkubwa Ambae Alitangulia Kuolewa. Yeye Binafsi Kwa Upende Wake Hakuridhia Kabisa Swala La Mume Wake Kuowa Mke Wa Pili.
Ambapo Anaingiwa Na Wivu Mkubwa Kupindukia, Nakuaanza Kumletea Fujo Mke Mdogo,Pamoja Na Kumfanyia Vitimbi Vya Kila Namna. Hadi Kupelekea Kumfanyia Uchawi.
Ilikupata Visa Na Mikasa Vilivyomo Katika Filamu Hii Ya MKE MWENZA.
Basi Nakusihi Sana Usikose Kufatilia Hapa Hapa Katika Chanel Yetu Ya DICK COMBO.
pia Kumbuka KULIKE, KU COMMENT, KU SHARE AND SUBSCRIBE.
0714 927098
0754 852596
MKE MWENZA
JASA PRESENT
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: