MBARAWA AWABANA WAKURUGENZI "MMEFUKUZA WOTE NIMEFURAHI SANA MUNGU MKUBWA"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2019-12-11
Просмотров: 13913
Waziri wa Maji Profesa Makame Mbalawa ameiagiza Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira Mbeya kuendeleza ujenzi wa miradi ya maji Mkoa wa Songwe iliyochelewa kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kuwanyang’anya Wakandarasi waliokiuka mikataba ya ujenzi.
Agizo hilo amelitoa Mkoani Songwe wakati wa ukaguzi wa miradi inayotekelezwa na serikali kupitia fedha za ndani ambapo ikikamilika wananchi wa Mkoa wa Songwe wataondokana na adha ya ukosefu wa maji.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: