Hussein Jumbe & Talent Band = Nipe muda nifikirie ( NEW AUDIO SONG)
Автор: Hussein Jumbe
Загружено: 2019-10-22
Просмотров: 5820
Hii nyimbo imebeba kisa cha kweli kabisa kilicho tokea kwa rafiki yangu mpendwa jina nimelihifadhi aliyemfumania mkewe wa ndoa kabisa akiwa na bwana wake katika chumba cha huyo rafiki yangu.
.
.
Pia hii ni albamu mpya kabisa la Kundi zima la Talent band chini ya Meneja HUSSEIN JUMBE na albamu ya nyimbo hii inayokwenda kwa jina la NIPE MUDA NIFIKIRIE ni miongoni mwa albamu ambayo imebeba nyimbo takribani 6
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: