Chakula, Tumbo na Afya | Gut Health Explained
Автор: Dr. Faraja M.
Загружено: 2025-09-12
Просмотров: 5655
Tumbo lako lina nguvu kubwa kuliko unavyofikiria! Afya ya mfumo wa chakula (gut health) huathiri kinga yako, nishati, usingizi na hata hisia zako. Katika video hii, tutazungumzia:
✅ Chakula bora kinachosaidia microbiome ya mfumo wa chakula
✅ Dalili za afya mbaya ya mfumo wa chakula
✅ Jinsi ya kuboresha afya ya mfumo wa chakula
✅ Vidokezo rahisi vya kila siku kwa afya njema
👉 Kumbuka: Afya njema ya mwili huanza na tumbo lenye afya.
📌 Usisahau ku-subscribe kwa video zaidi kuhusu afya, tiba na maisha bora.
#guthealth #Afya #Chakula #food
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: