MAANDALIZI YA NANE NANE 2025 BARIADI DC
Автор: Bariadi DC
Загружено: 2025-07-30
Просмотров: 139
Yakiwa yamesalia masaa machache kuanza kwa maadhimisho ya Siku ya Wakulima Duniani, Nane Nane 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi imeandaa maeneo ya vipando vya kilimo, maeneo ya mifugo pamoja na Banda la bidhaa mbalimbali za kilimo. Tizama aina mbalimbali za vipando vya kilimo na jinsi mazao hayo yanavyoweza kukuza uchumi wako.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: