YANGA TV 16/01/2026 | Ziara ya Rais Hersi Vipers Uganda; Ubingwa wa Yanga NMB Mapinduzi Cup 2026
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 1100
Rais wa Yanga, Hersi Said amefanya ziara katika klabu ya Vipers ya Uganda na kufanya mengi kuhusu mahusiano ya timu hizo mbili....
Pia wiki hii, michuano ya NMB Mapinduzi Cup imehitimishwa kwa Wananchi kubeba ubingwa kwa kuichapa Azam FC kwa penati 5-4 kwenye mchezo wa fainali....
Viongozi Ally Kamwe na Ibrahim Samwel pia wamezungumza kuhusu usajili, mipango ya timu kuelekea mechi za CAF CL pamoja na mikakati ya usajili wa wanachama....
Hii ni #YangaTV kila Ijumaa saa 4:00 usiku #AzamSports1HD
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: