MAGUFULI LIVE: Uzinduzi wa mji wa Kiserikali eneo la Mtumba jijini Dodoma
Автор: Azam TV
Загружено: 2019-04-13
Просмотров: 15616
Rais John Magufuli anafanya uzinduzi rasmi wa mji wa kiserikali unaojengwa kwenye eneo la Ihumwa kwenye mji mkuu, jijini Dodoma.
Fuatilia matangazo haya moja kwa moja kupitia chaneli za #AzamTWO na #UTV vile vile unaweza kutazama matangazo haya kupitia #AzamTVApp bila kusahau taarifa za papo kwa papo kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii za Facebook, Instagram na Twitter zikipatikana kwa jina la @azamtvtz
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: