Mshukiwa wa mauaji Shakahola 2023 abadilisha kuwa shahidi wa serikali
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-15
Просмотров: 861
Mmoja wa washukiwa kwenye mauwaji ya itikadi ya kidini eneo la Shakahola yaliyotokea mwaka wa 2023 kaunti ya Kilifi sasa amebadilisha nia na kuwa shahidi wa serikali. Jaji wa mahakama ya Mombasa Diana Mochache akiagiza upande wa mashtaka kuhakikisha kuwa shahidi huyo ameandikisha upya taarifa yake ya kukiri yaliojiri msituni
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: