DW Kiswahili Habari za Ulimwengu Leo | Aprili 04, 2025 | Asubuhi | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-04-03
Просмотров: 5198
Umoja wa Mataifa umesema mauaji ya wahudumu wa afya huko Gaza yanazusha wasiwasi wa "uhalifu wa kivita" ||
Nchi wanachama wa Jumuiya ya kujihami ya NATO waahidi kuongeza matumizi yao ya ulinzi. ||
Na upinzani nchini Burundi watahadharisha kuwa uhaba wa mafuta utaathiri uchaguzi ujao wa Bunge.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: