"Shama" - Piano Tutorial (Wimbo wa Kuabudu / Worship Song)
Автор: REM EASY PIANO
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 871
Karibu kwenye piano tutorial hii ya wimbo wa kuabudu “Shama.”
Katika video hii utajifunza jinsi ya kupiga piano au keyboard hatua kwa hatua — kuanzia chords, melody, hadi namna ya kucheza kwa hisia za kuabudu.
🎹 Utafundishwa:
Chords kuu zinazotumika kwenye wimbo
Melody ya verse na chorus
Mpangilio wa wimbo (Intro, Verse, Chorus, Bridge)
Vidokezo vya kucheza kwa worship feel
🙏 Inafaa kwa:
Wapiga piano/keyboard wa kanisani
Waabudu na wapenda nyimbo za injili
Wanafunzi wa piano wa viwango vyote
Usisahau kulisubscribe kwa tutorials zaidi za nyimbo za injili na worship piano 🎶
#PianoTutorial #Shama #WorshipPiano #GospelMusic #WorshipSong #SwahiliGospel #PraiseAndWorship #ChristianMusic #PianoLesson #GospelPiano #KeyboardTutorial #WorshipKeyboard
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: