Kufanya Kila Siku Si Rahisi… Lakini Hivi Ndivyo Unavyoweza Kubaki Consistent 🙌
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-10-24
Просмотров: 96
Kila mtu anaweza kuanza kitu kipya… lakini kuendelea kila siku, hata unapochoka, hapo ndipo changamoto ipo. 💭
Video hii ni real talk kwa kila mtu anayejitahidi kubaki consistent kwenye safari yake, iwe ni content creation, tech, au ndoto yoyote unayopigania.
Hapa nitakuonyesha jinsi ya kubaki consistent hata siku ambazo huna motivation kabisa.
Utaelewa kwanini discipline motivation, na kwa nini hatua ndogo kila siku zina nguvu kuliko kusubiri siku kamili.
💡 Ujumbe Kutoka Kwenye video:
👉Motivation mara nyingi haidumu, lakini discipline itakujenga.
👉Hata ukifanya kidogo leo, tayari umepiga hatua moja mbele.
👉Consistency inakuweka mbele ya wale wanaosubiri “wakati sahihi.”
👉Usisubiri kuwa perfect, anza, endelea, na usiache.🚀
👇 Kama umejifunza kitu leo:
✅ Like video hii
💬 Andika kwenye comments changamoto zako kuhusu kubaki consistent
📩 Share na mtu ambaye anahitaji kusikia ujumbe huu leo
🔔 Subscribe kwa video zaidi za motisha na mafunzo ya tech.
🔥🎬 ─ Karibu kwenye Channel yangu - Mohamed Hafidh! ─🎬🔥
Hapa tunajifunza na kukua PAMOJA kila wiki kupitia maudhui yatakayokupa maarifa ya kufanya maamuzi sahihi na kufikia malengo yako.
⭐ Tegemea video zilizojikita katika ─ Teknolojia ─ , na mengi zaidi ya kuvutia! 🚀
──
🌟 Lengo langu: Kukusaidia kujifunza, kukua, na kufurahia safari yako ya maarifa. Kila mmoja ana uwezo wa kufanikisha malengo yake! 💪
─ Si video tu. Kila content ni kwa ajili ya kukufanya uwe bora, ujue zaidi, na uweze kushinda katika maisha ya kila siku.
───────
✅ ─Usisahau: ─
👉 ─Subscribe ─ ili upate video mpya kila mara
1️⃣ ─ SUBSCRIBE ─ sasa hivi → / @mohamedhafidh255
🔔 ─ Wash kengele ─ ili usipitwe na updates
2️⃣ ─ WASHA NOTIFICATION ─🔔 (ili upate video zangu KILA NIKITOA)
───────
🔗 ─ Usibaki nyuma! Pata updates za haraka, maswali na majibu (Q&A) na maudhui mengine ya kipekee.
🌐 ─ Ungana nami kwenye mitandao:─
📱 WhatsApp Group: https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
───────
🙏 Asante kwa kuwa sehemu ya community yetu – tunajifunza na kukua pamoja!
#consistency #motivation #mohamedhafidh
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: