MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AHUDHURIA MKUTANO WA 37 WA SADC
Автор: Adam Gille
Загружено: 2017-08-28
Просмотров: 1130
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli katika Mkutano wa 37 wa Wakuu wa Nchi na Serikali uliofanyika mjini Pretoria nchini Afrika Kusini.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: