NZK, 110. MLANGO WAZI
Автор: Home of Hymns Kenya
Загружено: 2020-05-24
Просмотров: 774
Welcome and be blessed as we all seek for the face of the Lord.
110. MLANGO WAZI
1.Mlango uko wa wema, mlango wazi huo;
Yesu ameufungua na hakuna kufunga.
Refrain
Mlango wazi, ajabu, uliachwa wazi kwangu?
Kwangu, kwangu? wazi, wazi kwangu?
2.Mlango hukaa wazi watu waokolewe;
Maskini na matajiri wa mataifa yote.
3.Maadam mlango wazi, rafiki kaza mwendo;
Msalaba ukubali - amana ya upendo.
4.Msalaba tutabeba daima, na furaha!
'pendo wa Yesu hushinda, tunainama kwake.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: