Nehemia Ntumo - Uniinue namimi(Official Video)
Автор: Nehemia Ntumo
Загружено: 2025-11-16
Просмотров: 1546
Wimbo huu unajumbe ya kumuomba Mungu aniinue kutoka hari ya chini na kuniweka hari ya juu maana ni Yeye pekee awezaye kumpandisha mhitaji kutoka jalalani na humuinua mnyonge kutoka mavumbini na kumketisha pamoja na wakuu.
Kuna faida kubwa ya kutegemea baraka na mafanikio kutoka kwa Mungu tu maana ni Yeye pekee atoae baraka zisizo na kifani na zenye amani Tele.
Producer: prodevtz
Studio: GM ULTRA PRO
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: