Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

UJENZI MELI 4 ZA MIZIGO ULIPOFIKIA BANDARI YA KAREMA| MELI YA PILI MAKAA YA MAWE YAPAKIWA KAREMA

Автор: HALMASHAURI YA WILAYA YA TANGANYIKA

Загружено: 2025-07-10

Просмотров: 8557

Описание:

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mhe.Onesmo Buswelu amefanya ziara katika ukanda wa Karema, ambapo ametembelea Bandari ya Karema na kujionea hali ya ujenzi wa meli nne (4) za mizigo ulipofikia.

Katika ziara yake iliyoambatana na Kamati ua Ulinzi na Usalama ya Wilaya, ameridhishwa na kasi ya ujenzi huo unaotumia wataalamu kutoka China na wafanyakazi wa ndani walionufaika kwa kupata ajira kutokana na ujenzi wa meli hiyo.

Sambamba na hilo Mhe Mkuu wa Wilaya aliweza kushuhudia upakiaji wa madini aina ya makaa ya mawe yanayosafirishwa kwenda nje ya nchi, ikiwa ni mara ya pili kwa Bandari hiyo kusafirisha makaa ya mawe.

Akizungumza kwa niaba ya Meneja mradi wa ujenzi wa meli hizo, Mohammed Chande ambaye ni Afisa Utumishi, amesema kuwa kampuni hiyo imefanikiwa kutoa ajira kwa watu 30 ambao wanafanyakazi na kupata ujuzi mpya.

Nae wakala wa usafurishaji kampuni ya Over Seas ameishukuru Serikali ya Dkt Samia kufanikisha ujenzi wa bandari hiyo, ambayo imekuwa na msaada mkubwa sana katika kuongeza kipato na chanzo cha ajira kwa wananchi.

UJENZI MELI 4 ZA MIZIGO ULIPOFIKIA BANDARI YA KAREMA| MELI YA PILI MAKAA YA MAWE YAPAKIWA KAREMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

TAZAMA UZINDUZI WA MELI ZA KISASA ZILIVYO ZINDULIWA KATIKA BANDARI YA KAREMA

TAZAMA UZINDUZI WA MELI ZA KISASA ZILIVYO ZINDULIWA KATIKA BANDARI YA KAREMA

В Танзании построен крупнейший в Африке завод по производству солнечных панелей для экспорта в США.

В Танзании построен крупнейший в Африке завод по производству солнечных панелей для экспорта в США.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

BANDARI YA KAREMA YAANZA KWA KISHINDO KIKUBWA, DC BUSWELU ASHUHUDIA USAFIRISHAJI WA MAKAA YA MAWE.

UJEMZI WA MELI NNE BANDARI YA KAREMA NEEMA KWA MKOA WA KATAVI-MAKAME MBARAWA

UJEMZI WA MELI NNE BANDARI YA KAREMA NEEMA KWA MKOA WA KATAVI-MAKAME MBARAWA

KATAVI: MELI NNE ZAJENGWA BANDARI YA KAREMA.

KATAVI: MELI NNE ZAJENGWA BANDARI YA KAREMA.

TAZAMA SGR INAYOJENGWA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA

TAZAMA SGR INAYOJENGWA KATIKATI YA JIJI LA DODOMA

WABUNGE WATEMBELEA BANDARI YA KAREMA ZINAKOJENGWA MELI KUBWA NNE

WABUNGE WATEMBELEA BANDARI YA KAREMA ZINAKOJENGWA MELI KUBWA NNE

BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, YALIFANYA JIJI LA DODOMA KUWA NA MVUTO MKUBWA

BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, YALIFANYA JIJI LA DODOMA KUWA NA MVUTO MKUBWA

HISTORIA YA KAREMA

HISTORIA YA KAREMA

UJENZI WA MELI NNE,  AJIRA KWA  VIJANA.

UJENZI WA MELI NNE, AJIRA KWA VIJANA.

UJENZI WA BANDARI YA KAREMA  WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 50%,NCHI ZA USHOROBA WA KATI KUNUFAIKA NAYO.

UJENZI WA BANDARI YA KAREMA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 50%,NCHI ZA USHOROBA WA KATI KUNUFAIKA NAYO.

MWANZO MWISHO:Dakika 15 Za Mlima KITONGA Kuelekea IRINGA Ni Balaa!

MWANZO MWISHO:Dakika 15 Za Mlima KITONGA Kuelekea IRINGA Ni Balaa!

SHUHUDIA ULIPOFIKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SHINYANGA, RC MHITA ATEMBELEA UJENZI WAKE, NDEGE KUBWA.

SHUHUDIA ULIPOFIKA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE SHINYANGA, RC MHITA ATEMBELEA UJENZI WAKE, NDEGE KUBWA.

BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.

BANDARI YA KAREMA YATOA NEEMA KWA WANANCHI.

KATAVI: MELI 4 ZA MIZIGO UJENZI UMEANZA BANDARI YA KAREMA.

KATAVI: MELI 4 ZA MIZIGO UJENZI UMEANZA BANDARI YA KAREMA.

KALEMA KUWA BANDARI YA KIMKAKATI KWENYE ZIWA TANGANYIKA

KALEMA KUWA BANDARI YA KIMKAKATI KWENYE ZIWA TANGANYIKA

Mradi wa Kimataifa wa Mawasiliano na Uchukuzi  katika Ziwa Victoria wafika asilimia 98

Mradi wa Kimataifa wa Mawasiliano na Uchukuzi katika Ziwa Victoria wafika asilimia 98

UTAFITI WATHIBITISHA  BONDE LA  EYASI WEMBERE KUZALISHA MAFUTA.

UTAFITI WATHIBITISHA BONDE LA EYASI WEMBERE KUZALISHA MAFUTA.

BANDARI YA KAREMA YAKAMILIKA..

BANDARI YA KAREMA YAKAMILIKA.. "MELI ZA MSCL ZASUBILIWA KUCHANGAMSHA BIASHARA"

Hatua za mafanikio   Bandari ya MpigaDuri

Hatua za mafanikio Bandari ya MpigaDuri

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com