Maswali 7 ya Kumuuliza Dalali wako wa Hisa (Stock Broker)
Автор: Mindsetting Initiative
Загружено: 2024-06-05
Просмотров: 5333
Sehemu kubwa ya watu wanaoshiriki kwenye #uwekezaji wa #hisa na #hatifungani hawafahamu kabisa faida wanayoweza kuipata kutoka kwa madalali wa hisa ( #stockbrokers ).
Katika video hii nimeelezea maeneo (au maswali) saba ambayo kama mwekezaji unapaswa kuyatumia kumuuliza #stockbroker ili akupe taarifa zaidi.
Ili kujifunza zaidi, hapa ni mfululizo wa vipindi vya uchambuzi wa #sokolamitaji la #daressalaam
• Uchambuzi wa Soko la Mitaji DSE | Uwekezaj...
#Daressalaamstockexchange #dse #orbitsecurities #uwekezajiwahisa #uwekezajiwahisanahatifungani
********************************
Ninatumia Rebtel kwa ajili ya kupiga simu za kimataifa. Kwangu imekuwa very helpful. Unaweza kujaribu. Tumia link hapa chini:
https://reb.tel/FUZZ7t
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: